Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 09 15Article 557506

Habari za michezo of Wednesday, 15 September 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Mke Aliyembadili Dini Hans Pope Kenya Atua Dar na Watoto - Video

Mke Aliyembadili Dini Hans Pope Kenya Atua Dar na Watoto - Video play videoMke Aliyembadili Dini Hans Pope Kenya Atua Dar na Watoto - Video

Mke aliyemfanya Zacharia Hans Poppe kubadili dini na kuwa Muislam kisha kufunga nae ndoa ya Kiislamu huko Mombasa nchini Kenya, B.i Aisha Ashok na watoto wake wawili wamefika Tanzania kwa ajili ya kuaga mwili wa mpendwa wao leo Jumanne, Agosti 14, 2022.