Uko hapa: NyumbaniMichezo2022 01 14Article 585706

Soccer News of Friday, 14 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Msemaji Simba atuma Salamu kwa Yanga, Simba ikihitaji kitu lazima ikipate (+Video)

Ahmed Ally, Msemaji wa Simba SC play videoAhmed Ally, Msemaji wa Simba SC

Baada ya usiku wa Januari 13, kufanikiwa kunyakua Kombe la Mapinduzi Cup kule visiwani Zanzibar na kuandika historia kwa kulinyakua kombe hilo kwa mara ya nne.

Msemaji wa Mabingwa wapya Ahmed Ally ametamba na kusema huo ni mwanzo kuelekea katika ile mipango yao waliyoipanga ya kunyakua mataji wanayoshiriki msimu huu.

Ahmed pia ametumia mwanya huo kuwatumia salamu watani wao wa Jadi yanga kuelekea Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho ambako wao ndio mabingwa watetezi.

Tazama vido kusikia zaidi alichokizungumza Msemaji huyo wa Simba Sports Club.