Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 10 04Article 561223

Soccer News of Monday, 4 October 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Msimamo Ligi kuu Tanzania Bara leo Oktoba 4

Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya mechi za mzunguko wa pili Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya mechi za mzunguko wa pili

Ligi kuu Tanzania Bara imeendelea mwishoni mwa juma liliopita na hatimaye mzunguko wa pili umekamilika, huku kila timu ikiwa imeshuka dimbani michezo miwili.

Timu ya Polisi Tanzania ndio inayoongoza msimamo wa Ligi ikiwa na alama sita (6) baada ya kushinda michezo yake yote miwili.

Geita Gold, wageni wa Ligi kuu ndio timu pekee ambayo imepoteza michezo yake yote miwili na kujikuta inaburuza mkia.