Uko hapa: NyumbaniMichezo2022 01 10Article 584704

Soccer News of Monday, 10 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Mtibwa Sugar yamtambulisha Golikipa wa Simba

Jeremiah Kisubi Jeremiah Kisubi

Klabu ya Mtibwa Sugar ya kule Manungu, Mkoani Morogoro, imemtambulisha mlinda mlango wa Mabingwa watetezi Simba SC Jeremiah Kisubi kama usajili wao mpya katika dirisha dogo.

Mtibwa Sugar imeamua kumsajili Jeremiah Kisubi kwa mkopo ili akazibe nafasi iliyoachwa na golikipa wao namba moja Abuutwalib Mshery alietimkia Yanga SC.