Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 11 20Article 573055

Soccer News of Saturday, 20 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

#NBC UPDATES: Half Time, Namungo 0 - Yanga 0

Namungo vs Yanga bado bila bila dakika 45 za kwanza Namungo vs Yanga bado bila bila dakika 45 za kwanza

Dakika 45, za kipindi cha kwanza zimekamilika katika dimba la Ilulu Mkoani Lindi.

Hakuna timu yoyote kati ya Namungo wenyeji ama Yanga ambao wamepata bao la kuongoza mpaka sasa.

Ni mchezo wa kwanza tangu kuanza kwa msimu wa 2021/2022 kwa Yanga kwenda mapumziko pasipo kupata goli.

Katika mchezo huu Namungo kwa dakika 45 za kwanza wamefanya shambulizi zaidi ya moja la hatari huku Shiza Kichuya akipoteza nafasi ya wazi.