Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 09 17Article 558007

Soccer News of Friday, 17 September 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Nyota Simba, atoa somo kwa wachezaji

Nyota wa Zamani wa Simba, Amri Kiemba play videoNyota wa Zamani wa Simba, Amri Kiemba

Amri Kiemba nyota wa zamani wa kikosi cha Simba ambaye pia amecheza ndani ya kikosi cha Azam FC, Ruvu Shooting ameweka wazi kuwa amekuwa akiwashauri wachezaji wengi ili watakapostaafu soka waweze kuendelea kumudu gharama za maisha.

Kiemba ameweka wazi kuwa huwa anaumia pale ambapo anaona mchezaji mwenye uwezo wa kutengeneza mkwanja kuanzia milioni 5 mpaka 10 anapoanza kupata tabu pale atakapostaafu soka.