Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 06 17Article 543043

Habari za michezo of Thursday, 17 June 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Oscar Oscar, Ally Mayai Wakatwa Urais TFF -Video

Oscar Oscar, Ally Mayai Wakatwa Urais TFF -Video play videoOscar Oscar, Ally Mayai Wakatwa Urais TFF -Video

Kamati ya Uchaguzi ya TFF kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake, Benjamin Karume, leo Juni 16, 2021 imewatangaza waliokosa vigezo vya kuendelea na mchakato wa uchaguzi kwa nafasi ya Urais kuwa ni Oscar Oscar, Ally Mayay Tembele na Ally Saleh.

Waliopita kuwania Urais wa TFF ni Evans G. Mgeusa, Wallace Karia na Hawa Mninga.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx