Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 09 18Article 558148

Soccer News of Saturday, 18 September 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

PICHA 4: Kikosi cha Simba chawasili Jijini Dar, tayari kuwavaa Mazembe

Kikosi cha Simba kikiwasili Uwanja wa ndege, Dar es Salaam Kikosi cha Simba kikiwasili Uwanja wa ndege, Dar es Salaam

Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club "Mabingwa wa nchi" wamewasili Jijini Dar es Salaam wakitokea kule Jijini Arusha walipokuwa wameweka kambi kwa takribani wiki mbili.

Simba imewasili ikiwa ni ishara kuwa wapo tayari kuwavaa Mabingwa kutoka nchini Congo, TP Mazembe katika kilele cha Tamasha la Simba Day , Jumapili ya Septemba 19 katika uwanja wa Mkapa.Picha tofauti tofauti zikiwaonesha wachezaji wa Simba SC wakishuka uwanja wa Ndege