Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 10 14Article 563200

Soccer News of Thursday, 14 October 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

PICHA 6: Kikosi cha Pyramids FC kikiwasili nchini

Kikosi cha Pyramids FC Kikosi cha Pyramids FC

Kikosi cha Pyramids FC kimewasili nchini usiku wa kuamkia Oktoba 14, tayari kuwavaa Matajiri wa Jiji, Azam FC katika mchezo wa raundi ya kwanza kombe la shirikisho Afrika.

Mchezo huo utapigwa Oktoba 16 katika Uwanja wa Azam Complex, majira ya saa 9:00 Alasiri.