Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 08 28Article 554185

Habari za michezo of Saturday, 28 August 2021

Chanzo: millardayo.com

PICHA 8:Kutoka kwenye fainali za Ndondo Cup, RC DSM ahudhuria

PICHA 8:Kutoka kwenye fainali za Ndondo Cup, RC DSM ahudhuria PICHA 8:Kutoka kwenye fainali za Ndondo Cup, RC DSM ahudhuria

NI Agosti 28, 2021 zimefanyika Fainali za Ndondo Cup ambapo Vifundo FC ya Temeke imekutana na Tabata All Stars, katika mchezo huo wa dakika 90 kumalizika Vifundo waliibuka kwa ushindi goli 1-0 Tabata All Stars.

Mchezo huo umechezwa katika uwanja wa Bandari uliopo Temeke jijini Dar es Salaam.

Hapa Millardayo.com imekusogezea picha kumi za matukio mbalimbali kutoka kwenye mchezo huo.

......