Uko hapa: NyumbaniMichezo2022 01 07Article 583921

Soccer News of Friday, 7 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Philipe Coutinho ndani ya Villa Park

Phillipe Coutinho Phillipe Coutinho

Klabu ya Aston Villa imekubaliana na Barcelona kumchukua Kiungo Philipe Coutinho kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu.

Coutinho anarudi EPL baada ya miaka kadhaa tangu alipoachana na Liverpool na anakwenda kukutana na Steven Gerrard ambae walicheza pamoja Liverpool.

Barcelona kwa sasa inapambana kuwauza wachezaji wake wanaopokea mishahara mikubwa ili kupambana na changamoto ya kifedha inayowakabili.