Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 11 20Article 573022

Soccer News of Saturday, 20 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

RC, DC watembelea kituo cha TFF Kigamboni

Amoss Makalla, Fatma Nyangasa watembelea kituo cha TFF Amoss Makalla, Fatma Nyangasa watembelea kituo cha TFF

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla leo ametembelea mradi wa Kituo cha michezo kinachojengwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), eneo la Mwasonga, Kigamboni, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Katika ziara hiyo, Makalla ameongozana na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Fatma Nyangassa na Katibu wa TFF, Wilfred Kidau.