Uko hapa: NyumbaniMichezo2022 01 13Article 585550

Soccer News of Thursday, 13 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Rasmi: Chama arejea msimbazi

Chama arejea kujiunga na Simba SC Chama arejea kujiunga na Simba SC

Baada ya sintofahamu ya muda mrefu , hatimaye kiungo wa Kimataifa wa Zambia, Clatous Chota Chama amewasili Nchini kujiunga na Wekundu wa Msimbazi Simba SC.

Chama ambae aliachana na Simba mwishoni mwa msimu uliopita na kujiunga na RS Berkane ya Nchini Morocco, amerejea baada ya mambo kutomwendea vyema nchini Morocco.

Makamu wa Rais wa RS Berkane Majid Madrane akithibitisha Chama kurudi kumalizana na timu hiyo pasipo kutaja kiwango cha fedha walichokubaliana.

Chama amefanya vyema katika kikosi cha Simba katika kipindi ambacho amehudumu kwa mabingwa hao wa Ligi kuu bara