Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 09 29Article 560392

Soccer News of Wednesday, 29 September 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Ratiba Michezo ya Ligi ya Mabingwa leo Jumatano

Ratiba ya michezo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Ratiba ya michezo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya

Mechi raundi ya Pili hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa barani Ulaya, itaendelea usiku wa leo kwa kushuhudia mechi nane zikipigwa katika viwanja tofauti.

Kila timu imepanga kutafuta ushindi kuhakikisha wanajiweka katika hatua nzuri ya kuenda hatua inayofuata na ili hilo liwezekane hazina budi kuhakikisha wanakusanya point tatu.

Mechi nyingine nane za Ligi ya Mabingwa barani Ulaya zilichezwa jana Septemba 28.