Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 06 30Article 544852

Habari za michezo of Wednesday, 30 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Sehemu ya mazungumzo ya Mzee Mpili na Eng.Hersi

Sehemu ya mazungumzo ya Mzee Mpili na Eng.Hersi Sehemu ya mazungumzo ya Mzee Mpili na Eng.Hersi

Mzee Mpili ambae ni mwanachama mwandamizi wa Yanga SC amekutana na Makamu Mwenyekiti wa kamati ya mashindano wa Yanga na Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Eng. Hersi Said na kujadiliana nae mambo mbalimbali.

AyoTV imekusogezea hii video hapa ufahamu mazungumzo yao kati ya Mzee Mpili na ENG.Hersi Said