Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 09 21Article 558889

Habari za michezo of Tuesday, 21 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Shavu walilopata Simba SC waitisha mkutano waandishi wa habari

Shavu walilopata Simba SC waitisha mkutano waandishi wa habari Shavu walilopata Simba SC waitisha mkutano waandishi wa habari

Club ya Simba SC imeingia mkataba wa udhamini wa miaka miwili na Emirates ACP wenye thamani ya Tsh milioni 300, nje ya pesa Emirates watakuwa wanatoa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi wa Simba SC katika kipindi chote cha miaka miwili.

.

...