Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 08 30Article 554275

Soccer News of Monday, 30 August 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Simba SC warejea nchini

Wachezaji wa Simba wakiwa Uwanja wa ndege wa JNIA, Dar es Salaam Wachezaji wa Simba wakiwa Uwanja wa ndege wa JNIA, Dar es Salaam

Hatimaye Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi Simba Sc, kimewasili salama salmini Jjini Dar es Salaam kikitokea nchini Morocco.

Simba waliweka kambi ya siku kumi nchini Morocco wakijiandaa na msimu mpya 2021/2022 na wakiwa chini Morocco wamecheza mechi mbili za kirafiki huku zote wakitoa suluhu.

Katika taarifa yao waliyoandika kwenye mitandao yao ya kijamii simba imeandika;

"Kikosi chatua salama (Tanzania) kikitokea Morocco.