Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 06 26Article 544426

Habari za michezo of Saturday, 26 June 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Simba Yaicharaza Azam Fc, Yaifuata Yanga Fainali

Simba Yaicharaza Azam Fc, Yaifuata Yanga Fainali Simba Yaicharaza Azam Fc, Yaifuata Yanga Fainali

RASMI sasa Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (Azam Sports Federation Cup) itawakutanisha Yanga na mabingwa watetezi Simba  leo Juni 26,  kuibuka na ushindi wa bao 1-0. kwenye dimba la Majimaji, Songea.

Goli pekee la Mchezo huo wa Nusu Fainali limewekwa kimiani na Luis Miquissone  dakika ya 89’akipokea pasi ya Bernard Morrison ya mpira wa adhabu ndogo uliochezwa ya Bernard Morrison aliyeanzisha mpira kwa haraka na kuwaacha mabeki wa Azam Fc wakiwa. wamezubaa.

Ushindi huo unaifanya Simba kuifuata hatua ya Yanga hatua ya Fainali itakayochezwa Juni 25 kwenye Dimba la Lake Tanganyika Kigoma, Wananchi jana  walishinda bao 1-0 dhidi ya Biashara United katika nusu fainali ya kwanza.