Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 08 23Article 553201

Habari za michezo of Monday, 23 August 2021

Chanzo: www.mwanaspoti.co.tz

Simba, Yanga kurudi na ndege moja

Simba, Yanga kurudi na ndege moja Simba, Yanga kurudi na ndege moja

Baadhi ya nyota wa Simba na Yanga leo Agosti 23 wamegongana uwanja wa  ndege wa Mohamed V uliopo jijini Casablanca, Morocco na wote wanarudi na ndege moja.

Wachezaji hao wengine ni wale ambao wameitwa kutumikia timu za taifa katika mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2022.

Endelea kufuatilia mitandao yetu kwa taarifa zaidi