Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 08 16Article 551713

Habari za michezo of Monday, 16 August 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Simba Yathibitisha: Miquissone, Chama Wameuzwa

Simba Yathibitisha: Miquissone, Chama Wameuzwa Simba Yathibitisha: Miquissone, Chama Wameuzwa

KLABU ya Simba imethibitisha rasmi kuuzwa kwa wachezaji wake bora Lois Miquissone na Clatous Chama. Imewashukuru kwa utumishi wao. Luis anakwenda Al Alhy ya Misri na Chama RS Barkane ya Morocco.