Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 10 07Article 561844

Soccer News of Thursday, 7 October 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Simba kweli wamepania (+Video)

Kikosi cha Simba kikijifua kuhakikisha wanakuwa fiti play videoKikosi cha Simba kikijifua kuhakikisha wanakuwa fiti

Wakati wachezaji wao 15, wakiziwakilisha timu zao za Taifa katikia michezo ya kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la dunia Qatar 2022.

Wachezaji waliobaki wameendelea kujifua kwa nguvu zote katika Uwanja wao wa mazoezi, Mo Simba Arena uliopo Bunju, Jijini Dar es Salaam.

Kocha Didier Gomes ameendelea na mazoezi makali ya kujenga utimamu wa mwili kwa wachezaji wake huku akijua fika ana kazi ngumu mbele yake katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kibarua cha kutetea Ligi kuu (NBC Premier League)