Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 08 20Article 552739

Soccer News of Friday, 20 August 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Simba na silaha mpya za maangamizi

Kiungo mpya wa Simba SC, Sadio Kanoute Kiungo mpya wa Simba SC, Sadio Kanoute

Hayawi hayawi, sasa yamekua baada ya Mabingwa wa nchi kudondosha Midfield katili kutoka kule nchini Mali leo Agosti 20 mishale ya saa tisa Alasiri.

Ni box to box midfielder mwenye kipaji na uwezo mkubwa, Sadio Kanoute(24) sasa ni sehemu ya kikosi cha Simba SC kuelekea msimu mpya wa 2021/2022.

Kanoute anaungana na wenzake kadhaa ambao Simba imekwishawasajili mpaka wakati huu.Akiwemo Yusuph Mhilu,Peter Banda,Israel Mwenda,Jimmyson Steven Mwanuke,Abdulsamad Kassim Ali, Henock Inonga Baka,Pape Ousmane Sakho,Duncan Nyoni