Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 08 26Article 553906

Habari za michezo of Thursday, 26 August 2021

Chanzo: millardayo.com

"Simba ni Makolokolo FC, Kolo" Manara aanza kuwashambulia Jezi za Simba

"Simba ni Makolokolo FC, Kolo" Manara aanza kuwashambulia Jezi za Simba

NI Headlines za Haji Manara ambae time hii ameanza kazi rasmi upande wa pili wa Young African Yanga SC na kupitia ukurasa wake wa instagram leo Agosti 26, 2021 amepost jezi ya Simba na kuiita Makolokolo FC.

Unaweza ukabonyeza play ufahamu Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea kile kilichosemwa na Haji Manara kuhusu jezi ya Simba.