Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 05 28Article 540349

xxxxxxxxxxx of Friday, 28 May 2021

Chanzo: millardayo.com

Simba watawala kikosi kipya Taifa Stars

Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Kim Poulsen ametangaza kikosi cha wachezaji 27, kitakachoingia kambini Juni 5, 2021 kujiandaa na mchezo wa kimataifa dhidi ya Malawi.

Kocha Kim ametangaza kikosi hicho leo huku akimjumuhisha mshambuliaji wa Mbeya City Denis Kibu kwa mara ya kwanza, na wachezaji kama Jonas mkude, Farid Mussa na Thomas Ulimwengu wakiachwa kwenye kikosi hicho.

Join our Newsletter