Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 09 29Article 560329

Soccer News of Wednesday, 29 September 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Simba yaifuata Dodoma Jiji

Kikosi cha Simba SC kikiondoka Mkoani Mara Kikosi cha Simba SC kikiondoka Mkoani Mara

Kikosi kinaondoka jijini Mwanza kuelekea jijini Dodoma kwa kupitia jijini Dar es Salaam.

Dodoma watacheza mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Dodoma Jiji siku ya ijumaa, Octoba 1.

Simba ilikuwa Mara ambapo jana Septemba 28, ilikuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Biashara United.

Katika mchezo huo Simba iligawana pointi mojamoja na Biashara United baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Karume kusoma Biashara United 0-0.