Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 09 17Article 558079

Soccer News of Friday, 17 September 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Simba yasaini Mkataba na ATCL

C.E.O wa Simba, Babra Gonzales (kulia) akiingia Mkataba na mwakilishi wa ATCL play videoC.E.O wa Simba, Babra Gonzales (kulia) akiingia Mkataba na mwakilishi wa ATCL

Klabu ya Simba Sports Club, leo Septemba 17, imeingia mkataba wa miaka miwili na Shirika la Ndege Tanzania ATCL, mkataba huo unathamani zaidi ya milioni 400.

Kwa kipindi cha miaka miwili Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) litakuwa mshirika wa Simba katika huduma za usafiri wa anga.