Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 07 22Article 547963

Habari za michezo of Thursday, 22 July 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

TFF Yakiri Kudaiwa Milioni 76

TFF Yakiri Kudaiwa Milioni 76 TFF Yakiri Kudaiwa Milioni 76

TFF Yakiri Kudaiwa Milioni 76 July 21, 2021 by Global PublishersShirikisho la Soka nchini TFF limesikitishwa na utaratibu uliotumiwa na Uongozi wa Shule ya Gilbert Bayi wa kudai stahiki zake kupitia vyombo za habari.

TFF muda mchache uliopita wametoa taarifa ya kusikitishwa huko, na kuisambaza kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii. Taasisi hiyo ya Soka nchini imekiri kudaiwa fedha zaidi ya Milioni 70, baada ya kupunguza deni la zaidi ya shilingi milioni 500.Share this:TweetWhatsApp Related