Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 06 25Article 544135

Habari za michezo of Friday, 25 June 2021

Chanzo: eatv.tv

TFF yamwondolea adhabu Mwakalebela

TFF yamwondolea adhabu Mwakalebela TFF yamwondolea adhabu Mwakalebela

Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela, ameondolewa adhabu ya kufungiwa miaka mitano kutojihusisha na soka ndani na nje ya nchi na sasa yupo huru kuendelea na majukumu yake.

Submitted by Elbogast on Alhamisi , 24th Jun , 2021 Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela

Taarifa ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) imeeleza.