Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 06 11Article 542155

xxxxxxxxxxx of Friday, 11 June 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Tarimba, Ally Mayay Wachukua Fomu Urais TFF

UCHAGUZI wa TFF Wanaowania nafasi ya urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wafikia saba (7), wakiwemo Abbas Tarimba na Ally Mayay. Uchaguzi utafanyika Agosti 7, 2021 mkoani Tanga.Join our Newsletter