Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 08 23Article 553162

Habari za michezo of Monday, 23 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Tazama ilivyofanyika Ibada ya mazishi ya Mwalimu Kashasha (Video+)

Tazama ilivyofanyika Ibada ya mazishi ya Mwalimu Kashasha (Video+) Tazama ilivyofanyika Ibada ya mazishi ya Mwalimu Kashasha (Video+)

Mwili wa Marehemu Mwalimu Alex Kashasha leo Agosti 23, 2021 umeagwa nyumbani kwake Mbagala Dar es Salaam kisha kupelekwa kuhifadhiwa makaburi ya Kinondoni kwa ajili ya Maziko.

Kashasha alifariki Agosti 19, 2021 katika hospitali ya Kairuki Dar es Salaam ambapo alikuwa akipatiwa matibabu.