Uko hapa: NyumbaniMichezo2022 01 07Article 583918

Soccer News of Friday, 7 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Trippier atua New Castle United

Kieran Trippier Kieran Trippier

Klabu ya Necastle inayomilikiwa na matajiri wa Saudi Arabia imefanikiwa kunasa saini ya beki wa kulia kutoka Atletico Madrid, Kieran Trippier mwenye miaka 31.

Trippier alijiunga na Atletico 2019 akitokea Tottenham Hotspurs ya Ligi Kuu England.

Kwa sasa Klabu ya New Castle inafanya jitihada za kuhakikisha wanaimarisha kikosi chao ili kuepuka janga la kushuka daraja.