Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 06 28Article 544501

Habari za michezo of Monday, 28 June 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

VIDEO: Manji Alivyoibuka Kwenye Mkutano Mkuu Yanga (Picha +Video)

Live: Manji Aibuka Kwenye Mkutano Mkuu Yanga (Picha +Video) play videoLive: Manji Aibuka Kwenye Mkutano Mkuu Yanga (Picha +Video)

Live: Manji Aibuka Kwenye Mkutano Mkuu Yanga (Picha +Video) June 27, 2021 by Global Publishers

KLABU ya Yanga leo Juni 27, 2021 wanafanya Mkutano Mkuu wa Mwaka 2021 kwenye ukumbi wa DYCC, uliopo Zimbabwe Road, Temeke mkabala na Chuo cha Ualimu pamoja na Uwanja wa Benjamin Mkapa.Aliyekuwa mwenyekiti wa Yanga SC Yusufu Manji (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa sasa wa timu hiyo, Dr. Mshindo Msolla kwenye ukumbi wa DYCC, uliopo Zimbabwe Road, Temeke.Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Yanga ambaye pia ni Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Kampuni ya GSM,Eng Hersi Said katikati akisalimiana na wajumbe wa mkutano Mkuu.Mshauri wa Masuala ya Mabadiliko ndani ya Klabu ya Yanga, Senzo Mazingisa akiwa ukumbini.Wanachama wakiendelea na zoezi la kuhakiki kadi kabla ya kuingia ukumbini katika Mkutano Mkuu wa Mwaka 2021.