Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 08 22Article 552961

Habari za michezo of Sunday, 22 August 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

VIDEO: Rais Samia Akipokea Kombe La Cecafa U23 Ikulu Dar

Live: Rais Samia Akipokea Kombe La Cecafa U23 Ikulu Dar play videoLive: Rais Samia Akipokea Kombe La Cecafa U23 Ikulu Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo 22 Agosti, 2021 anapokea Kombe la Ushindi la Michuano ya Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa vijana wenye umri chini ya miaka 23 (CECAFA CHALLENGE CUP 2021) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam