Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 11 20Article 572917

Habari za michezo of Saturday, 20 November 2021

Chanzo: AyoTV

VIDEO: Samatta afunguka mapya kuondoka Fenerbahce na kutoenda Genk

Samatta afunguka mapya kuondoka Fenerbahce na kutoenda Genk play videoSamatta afunguka mapya kuondoka Fenerbahce na kutoenda Genk

Uliwahi kutamani kumuuliza Samatta kwanini hakurudi KRC Genk baada ya kuondoka Fenerbahce......... ? usijali, AyoTV imempata kwenye Exclusive Interview na kuliuliza swali hili kwa niaba yako na amejibu kama ifuatavyo.

"Unaangalia sehemu gani itakufaa inavyotakiwa kama Mchezaji, nilipokea msg nyingi sana kutoka kwa Watu ambao nafahamiana nao Genk wakinitaka nirudi Genk na sio sehemu nyingine lakini nilikua naangalia ni sehemu gani itanifaa kwa ubora”

“Ni sehemu gani nitaweza ku-perform nitaweza ku-feel kwamba nahitajika, Genk ilikua sehemu nzuri ya kwenda lakini sidhani kama ningeweza kufanya vikubwa kama nilivyovifanya kabla kwa sababu ingekuwa sio new challenge" ——— Samatta

Unatamani kufahamu mengine mengi ya Samatta ikiwemo sababu za yeye kuondoka Fenerbahce? ingia kwenye Youtube ya ‘millardayo’ kuitazama hiyo EXCLUSIVE Interview au bonyeza link kwenye bio yangu.