Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 08 20Article 552766

Habari za michezo of Friday, 20 August 2021

Chanzo: Bongo5

"Watamkumbuka Manara ngoja Simba day ifike" - Madee

Shabiki kindaki ndaki wa Yanga, Madee play videoShabiki kindaki ndaki wa Yanga, Madee

Msanii wa bongo flavour na Shabiki wa kandanda nchini, Madee ally ameionya klabu ya simba kwa kitendo chake cha kumuondoa aliekua Msemaji wao Haji Manara.

Katika mazungumzo yake madee amesema hajismanara alikuwa mtu muhimu sana kwenye soka letu alimfanya Mhe. Hamis Tale tale "babutale" aupende mpira.

Aidha, Madee amesema Klabu yake ya Yanga msimu huu lazima iwe bingwa kutokana na usajili walioufanya.