Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 11 18Article 572350

Soccer News of Thursday, 18 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Yacouba arejea kuuguza jeraha (+Video)

Yacouba Sogne Yacouba Sogne

Kiungo Mshambuliaji wa Yanga, Yacouba Songne amerejea nchini kutokea nchini Tunisia alipokwenda kufanyiwa upasuaji.

Yacouba aliumia katika mechi dhidi ya Namungo na baadae taarifa zilitoka kuwa anahitaji kufanyiwa upasuaji na akapelekwa nchini Tunisia.

Tazama Video akiwasili uwanja wa ndege