Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 09 19Article 558415

Habari za michezo of Sunday, 19 September 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Yanga Yatupwa Nje Ligi ya Mabingwa Afrika

Yanga Yatupwa Nje Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga Yatupwa Nje Ligi ya Mabingwa Afrika

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye ligi ya mabingwa Afrika, Yanga leo Septemba 19, imetupwa nje ya michuano hiyo baada ya kupoteza mchezo wa ugenini dhidi ya Rivers United ya Nigeria.

Yanga imepoteza kwa jumla ya Magoli 2-0 baada ya kupoteza mchezo wa kwanza kwa bao 1-0 uliochezwa uwanja wa Benjamin Mkapa Dar.