Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 08 14Article 551491

Soccer News of Saturday, 14 August 2021

Chanzo: www.mwanaspoti.co.tz

Yanga na Ratiba CAF

Miongoni mwa Nyota waliosajiliwa na Yanga msimu huu Miongoni mwa Nyota waliosajiliwa na Yanga msimu huu

Mwakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, Yanga tayari washamjua watakayeanza nae kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ambaye ni Rivers United ya nchini Nigeria kwenye  Uwanja wa Mkapa jijini Dar kati ya Septemba 10-12.

Baada ya mechi hiyo ya kwanza ya awali watarudiana Septemba 17-19 ugenini na watakapovuka watakutana na mshindi kati ya Fasil Kenema ya Ethiopia.

Katika Draw hiyo ambayo imetoka siku ya Ijumaa Jioni,wapinzani wao Simba Sc wao hawatashiriki hatua hiyo ya Awali sambamba na timu nyingine 9.