Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 08 30Article 554311

Habari za michezo of Monday, 30 August 2021

Chanzo: www.mwanaspoti.co.tz

Yanga wabadili jezi kipindi cha pili

Yanga wabadili jezi kipindi cha pili Yanga wabadili jezi kipindi cha pili

Kikosi cha Yanga kimerejea uwanjani kikiwa na jezi mpya tofauti na walizotumia kipindi cha kwanza katika mchezo na Zanaco kwenye kilele cha wiki ya Mwananchi kwenye uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.

Yanga iliingia kipindi cha pili ikiwa imevaa jezi za njano na nyeusi.

Katika dakika 45 za kwanza Yanga iliingia ikiwa imevaa jezi za njano na kijani.