Uko hapa: NyumbaniMichezo2021 11 22Article 573550

Soccer News of Monday, 22 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Yanga wakubali yaishe sakata la Morisson

Viongozi wa Dar Young Africans Viongozi wa Dar Young Africans

Baada ya jioni ya leo Mahakama ya usuluhishi ya Michezo CAS, kutoa hukumu na kumpa ushindi mchezaji Benard Morisson dhidi ya Shauri lililopelekwa na Yanga kuhusu kummiliki mchezaji huyo.

Klabu ya Yanga imetoa kauli yake na kuonekana kukubaliana na hukumu hiyo, na wao kama Klabu wanatazama mbele kwa sasa.

Hii hapa sehemu ya Taarifa ya Yanga kwenda kwa Umma wa Watanzania.