Uko hapa: Nyumbani

Kuhusu TanzaniaWeb

TanzaniaWeb ni tovuti ya habari inayotoa habari, habari za zote kuhusu Tanzania na Afrika kwa ujumla, inatoa nafasi ya kusikiliza vituo vya redio kutoka Tanzania, taarifa mbalimbali za mitandao ya kijamii kutoka kwa watanzania nyumbani na Ughaibuni.


Timu ya Wahariri

TanzaniaWeb inaendeshwa na timu ya wahariri na waandishi wa habari ambao wanahakikisha kuna utoaji wa habari zote kwa usawa na kwa kuzingatia haki, tafiti na misingi ya taaluma kwa kila eneo, Pia TanzaniaWeb huchapisha habari kutoka kwa waandishi, mitandao ya kijamii pamoja na vyombo vingine kutoka Tanzania, na taarifa zite hupitiwa na kuhakikiwa kwanza kabla ya kuchapishwa.

TanzaniaWeb ni moja ya kampuni za habari zinazomilikiwa na AfricaWeb Holding, ambayo ni kampuni ya uchapishaji habari na masuala ya dijiti kwa wachapishaji wa Kiafrika. AfricaWeb pia inamiliki kampuni nyingine za habari kama GhanaWeb.com, CamerounWeb.com, MyNigeria.com zikiwa kwenye nchi mbalimbali za Afrika kwa lengo la kuongeza milango ya uhuru wa habari, matangazo na suluhisho la masuala ya digitali kwa Afrika. Timu ya Wahariri ya TanzaniaWeb inazingatia Viwango na Sera za Uhariri za AfricaWeb.

Tazama ukurasa wetu wa Mawasiliano, ikiwa unataka kuwasiliana na wahariri au na AfricaWeb Publishing.
AfricaWeb Publishing inahusika katika usimamizi na leseni ya yaliyomo ndani ya kampuni inashughulikia maswala yote ya hakimiliki kwa niaba ya TanzaniaWeb.