Uko hapa: NyumbaniBurudaniMuziki2022 01 12Article 585274

Muziki of Wednesday, 12 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Kiba Aweka Rekodi ya Kipekee Huko Afrika

Alikiba Alikiba

MITANDAO mikubwa ya burudani barani Afrika imetaja albam kumi (10) bora zilizotoka mwaka jana barani humo ambapo kutoka Tanzania na Afrika Mashariki, msanii wa Bongo Fleva, King Kiba ameweka rekodi ya kipekee.

Albam ya King Kiba ya Only One King inatajwa kushika nafasi ya sita (6) kwenye orodha hiyo.

Listi kamili ni hii hapa; Made In Lagos (Wizkid), Tokoos II (Fally Ipupa), SBBM (Joe Boy), 19 & Dangerous (Ayra Starr), Notumato (Young Stunna), Anna (Anna JoyceO), No Pressure (Sarkodie), Logan (Emptee) na Ya Fatenny (Hamaki).