Uko hapa: NyumbaniBurudaniMuziki2021 09 24Article 559450

Muziki of Friday, 24 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Muziki wa Amapiano umetua London, Ma DJ's, wasanii waburudisha (video+)

Muziki wa Amapiano umetua London, Ma DJ's, wasanii waburudisha (video+) play videoMuziki wa Amapiano umetua London, Ma DJ's, wasanii waburudisha (video+)

Mbali na kwamba South Africa bado wanaendelea kupeta kwenye vichwa vya habari Duniani kwa utoaji wa ladhaa tofauti ya muziki wao unaotamba kwa jina la Amapiano.

Sasa habari njema ni kwamba wakali hao wenye midundo yao isiyochosha kwenye usikilizwaji wameanza kupata tours nchini tofauti tofauti na leo nakusogezea ushuhudie walichokifanya Uingereza katika session iitwayo Boiler Room.

Mastaa waliotoa burudani katika session ya Boiler Room  akiwemo Vigro Deep Dj, Cassper Nyovest, Major League DJ’Z, Mr Jazziq, Kamo Mphela, DBN Gogo