Uko hapa: NyumbaniBurudaniMuziki2021 10 13Article 562954

Muziki of Wednesday, 13 October 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Rosa Ree afichua mapya kuhusu mchumba wake

Maisha ya mwanadada Rosa Ree play videoMaisha ya mwanadada Rosa Ree

Msanii wa Muziki wa Rap, mwanadada Rosa Ree amefichua mapaya kuhusu mahusiano yake na mwenzawake.

Rosa Ree ambae anazungumzwa sana kutokana na muonekano wake usio na haiba ya kike na kuonekana amekaa kiume zaidi wiki kadhaa nyuma alimtambulisha mpenzi wake hadharani.

Global TV imepiga stori na mwanamuziki, Rosa Ree, kuhusiana na muziki wake lakini pia uhusiano wake alioamua kuuweka wazi kwa sasa na mchumba wake ambaye amemvalisha pete hivi karibuni.