Uko hapa: NyumbaniBurudaniMuziki2022 01 12Article 585100

Muziki of Wednesday, 12 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

TID Awachana Ukweli Wasanii wa Sasa

TID Awachana Ukweli Wasanii wa Sasa TID Awachana Ukweli Wasanii wa Sasa

Msanii TID 'Top in Dar Mnyama' ameshea maoni yake kuhusu muziki kwa kusema waimbaji wengi wa sasa wanagezana jinsi ya kuandika mashairi kitu ambacho ni kibaya sana.

"Waimbaji wengi wa sasa wanagezana kuandika maishiri, mashairi wanaondika wao sasa hivi hayasaidii kudumisha tamaduni zetu na jamii ili kuelimisha kuasa na kuburudisha".

"Watu wamekua wakichochea ngono na kudhalilisha wanawake sidhani kama tutaachia urithi mzuri vijana wetu".