Uko hapa: NyumbaniMichezoBasketball

Lebron James na Stephen Curry wachagua wachezaji wao wa ‘2018 NBA All Star Game’

Wababe wa mchezo wa kikapu Lebron James na Stephen Curry ambao ni manahodha wamechagua vikosi vyao kwa ajili ya mechi ya 2018 NBA All Star Game ambayo itachezwa Jumapili ya February 18 mwaka huu katika uwanja wa Staples Center mjini Los Angeles. Katika kikosi vikosi hivyo kila nahodha amechagua wachezji wake 11 ambapo katika timu ya Lebron amemchagua mkali kama Kevin Durant, Russell Westbrook na DeMarcus Cousins. Timu Lebron James: » Read More

Jan 17
Golden State Warriors yaipa somo Cavaliers NBA
 
» More Basketball News