Uko hapa: NyumbaniMichezoNdondi

Mwakinyo kuwania mataji mawili kwa mpigo

Mwakinyo kuwania mataji mawili kwa mpigo BONDIA namba moja nchini, Hassan Mwakinyo kwa mara ya kwanza atazichapa kuwania mataji mawili kwa mpigo ya ubingwa wa mabara wa WBF na UBO. Mwakinyo atamkabiri, Rodolfo Ezequiel 'Epi Scania' wa Argentina katika pambano litakalopigwa jijini Dar es Salaam kwenye uwanja wa Uhuru, Machi 28 mwaka huu. Kwa mujibu wa promota wa pambano hilo la uzani wa super welter, Ally Mwanzoa, tayari mabondia wote wamesaini mkataba kuzichapa siku hiyo katika pambano lililopewa jina la Usiku wa Mabingwa. Akizungumzia pambano hilo, Mwakinyo alisema limekuja wakati ambao alikuwa akitamani kucheza mapambano » Read More

Jan 2
Mwakinyo apigia hesabu ubingwa dunia
Dec 20
MATUKIO YA KUKUMBUKWA 2019: Cheka azushiwa kifo, Mwakinyo atikisa, Vijana wasapraizi
Dec 14
Mwakinyo apanda viwango vya dunia
Dec 12
Joshua amchapa Ruiz arudisha mataji yake IBF, WBA na WBO
Dec 5
Joshua: Ruiz akinipiga tutarudiana kwa mara ya tatu
Dec 3
Pambano la Joshua vs Andy Ruiz Jr wasichana wapigwa stop Saudi Arabia
Dec 2
Glovu ngeni zilivyomponza Mwakinyo kwa Tinampay
MWAKINYO; Marefa ngumi za baa wanasema kabebwa
Kilichompa ushindi Mwakinyo chatajwa
Nov 30
Mwakinyo ashinda kwa pointi, Mfilipino kisiki
 
» More Boxing News