Uko hapa: NyumbaniMichezoNdondi2021 05 29Article 540493

Boxing News of Saturday, 29 May 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

VIDEO: Mwakinyo Ampiga Muangola Kwa KO Na Kutwaa Taji La WBC

VIDEO: Mwakinyo Ampiga Muangola Kwa KO Na Kutwaa Taji La WBC play videoVIDEO: Mwakinyo Ampiga Muangola Kwa KO Na Kutwaa Taji La WBC

VIDEO: Mwakinyo Ampiga Muangola Kwa KO Na Kutwaa Taji La WBC May 29, 2021 by Global PublishersBONDIA Mtanzania Hassan Mwakinyo Mei 29, 2021 ametwaa taji la WBC Afrika uzito wa Super Welter baada ya kumpiga kwa Knockout (KO) raundi ya tisa Muangola Antonio Mayala kwenye ukumbi wa Next Door Arena, Masaki Jijini Dar es Salaam.Mtanzania mwingine, Ibrahim Mgendera ‘Ibra Class’ amemshinda kwa pointi Sibusiso Zingange wa Afrika Kusini katika pambano lisilo la ubingwa uzito wa Super Feather raundi nane.

Lakini haukuwa usiku nzuri kwa Mtanzania mwingine, Shaaban Jongo maarufu kama Jongo Jongo aliyepigwa kwa KO raundi ya pili na Mnigeria, Olanrewaju Durodora katika pambano la kuwania taji a WBC Afrika uzito Cruiser.