Uko hapa: NyumbaniBiashara2021 05 02Article 536056

Habari za Biashara of Sunday, 2 May 2021

Chanzo: millardayo.com

DAWASA imebadili utaratibu wa utumaji bill za maji

DAWASA imebadili utaratibu wa utumaji bill za maji DAWASA imebadili utaratibu wa utumaji bill za maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira DSM (DAWASA) imefanya mabadiliko katika mzunguko wa usomaji mita na utumaji wa ankara yaani bill za maji kwa wateja wake kutoka tarehe 1 hadi 15 ya kila mwezi kwenda tarehe 20 hadi 30.

ASKARI WAPEWA VIFAA MAALUMU VYA KUKUSANYA TAARIFA “TUMEPOTEZA TEMBO”