Uko hapa: NyumbaniBiashara2021 07 02Article 545017

Habari za Biashara of Friday, 2 July 2021

Chanzo: millardayo.com

John Heche acharuka "wamepandisha bei mafuta, wameshusha pombe"(+video)

John Heche acharuka play videoJohn Heche acharuka "wamepandisha bei mafuta, wameshusha pombe"(+video)

“Bunge la bajeti wamepunguza bei ya pombe, wameongeza bei ya mafuta, wengine sisi pombe haituhusu samahani mnaokunywa, lakini mafuta yanatuhusu kila mmoja wetu, ukipandisha bei ya mafuta unamgusa mpaka bibi kizee kule Kijijini ambae anatumia mafuta ya taa kwenye kibatari, unamgusa Mwanakijiji anaenda kusaga kwenye mashine inayotumia diesel, unamgusa bodaboda, mafuta ndio kila kitu, Bunge limepandisha bei ya mafuta limeshusha bei ya pombe” John Heche akongea kwenye kongamano la Katiba Day